Dk Shein Azungumza na Balozi wa Uholanzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Dk. Ad Koekkoek, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
kuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]