Dk. Bilal akizindua redio Sibuka FM Saba Saba

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akikagua moja ya Banda la Mjasiliamali wakati alipotembelea Banda la benki ya NMB muda mfupi baada ya kufungua rasmi maonesho ya 35 ya Biashara Kimataifa. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal akikata utepe kuzindua, Redio Sibuka FM, jana ndani ya viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Saba Saba. Picha na Muhidin Sufiani-OMR