Idadi kubwa ya Wananchi mjini Morogoro imejitokeza kwenda kumuhifadhi msanii Albert Mangwea kwenye nyumba yake ya milele kama ionekanavyo pichani, eneo hili ni makaburini na watu walikuwa wengi kiasi cha wengine kukaa mbali. Picha ya kwanza ni kaburi lake. Picha kwa hisani ya Lindiyetu Blog.