Watanzania Waishio Singapore Wazungumza na Rais Kikwete

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na  Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore. Kulia ni balozi wa Tanzania nchini Singapore Injinia John Kijazi

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa baadhi ya Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa Singapore leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.


 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete za ujumbe wake wakitembezwa kuangalia bandari ya Singapore. (PICHA ZOTE NA IKULU)