Nyumba Kubwa Yenye Frem 26 Inauzwa
NYUMBA KUBWA YENYE FREM ZA BIASHARA INAUZWA MAENEO YA MANZESE BAKHRESSA. NYUMB IPO PEMBENI MWA BARABARA YA MOROGORO. INAZO FREM 26 ZENYE WAPANGAJI. BEI YAKE NI SHS MILIONI 400, MAONGEZI YANARUHUSIWA. KWA MAWASILIANO PIGA: 0715724486 NA 0756904041.
DALALI HATAKIWI.