Viwanja vinauzwa, Malimbe, Sweya Jijini Mwanza umbali wa Nusu Kilomita kutoka SAUT University. Vipo ziwani (ziwa Victoria) ni low Density, viwanja hivyo ni namba 95 na 96 kama vinavyoonyeshwa katika ramani hiyo. Kiwanja namba 95 ukubwa wake ni 2431 sm na namba 96 ni 2766 sm square mmiliki ni mmoja na kuna miti na nyumba, bei 450 milioni.
Mawasiliano zaidi ni 0757181351,
Madalali hawahitajiki.