RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,na ujumbe aliofuatana nao wakiwa katika picha ya pamoja katika Makumbusho ya Kihistoria ya Dr.Sun Yat-sen’s yaliyopo Nje ya Mji wa Nanjing,katika Jimbi la Jiangsu nchini China,wakiwa katika ziara ya Kiserikali jana. [Picha na Ramadhan Othman,Nanjing China.]
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakisindikizwa na mwenyeji wao Mkurugenzi Mkuu wa Mambo ya Nje,Hong Chengzong, baada ya Mapokezi walipowasili katika Uwanja wa Ndege katika Mji wa Xiamen, na ujumbe waliofuatana nao nchini China katika ziara ya mualiko wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China jana. [Picha na Ramadhan Othman,Xiamen China.]
Mwenyekiti wa Kampuni ya Ujenzi ya Fujian Construction Engneering Group,Huang Jianmin,akimkarisha RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiwa na Ujumbe wake katika chakula cha jioni katika ukumbi wa Yeohwa Hotel,Mjini Xiamen Nchini China katika ziara ya Kiserikali,(kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.[Picha na Ramadhan Othman,Xiamen China,]
Baadhi ya Wananchi wa Mitaa mbali mbali katika mji wa Nanjing hufika kutembelea sehemu ya Makumbusho ya kihistoria pamoja na Watalii kutoka nje ya mji huo,kuangalia mandhari yakupendeza na kupanda mlima wa kihistoria wa Dr,Sua Yat-sen’s,katika Jimbo la Jiangsu.{Picha na Ramadhan Othman,Nanjing China.}