Tuzo ya kwanza ya AU bila ya magurudumu
Katuni iliyopewa jina ” Je tumeshafika?” imechorwa na mchoraji wa Afrika Kusini John Swanepoel na Jonh Curtis. Katika nchi yao wanajulikana kama “Dr. Jack & Curtis.” Wachoraji hao wameshika nafasi ya kwanza katika shindano la tatu kwa mwaka huu la uchoraji katuni la Ujerumani ” Third World Journalist Net” Kwa mwaka huu, mada kuu ya shindano hilo la kimataifa ilikuwa “Miaka 50 ya umoja wa Afrika”
-DW