Hili ndilo banda la NSSF ndani ya viwanja vya Saba Saba

Hili ndilo banda la NSSF linavyoonekana kwa nje. NSSF inashiriki katika Maonesho ya 35 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea ndani ya viwanja vya mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam.