VODACOM MISS KINO

Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akiwasalimia baadhi ya warembo wanaoshiriki miss Kinondoni wakati walipotambulishwa rasmi jana tayari kwa kuanza kambi yao siku ya jumatano wiki hii Mzalendo Pub Makumbusho jijini Dares Salaam

Mwenyekiti wa Boy George Promosheni Yusuph George, ambao ni waandaji wa shindano la miss Kinondoni akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na maandalizi na kutoa muuongozo kwa warembo waliofanikiwa kuingia katika kambi hiyo inayoanza rasmi jumatano wiki hii Mzalendo Pub Makumbusho,kushoto ni Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude,Meneja wa kinywaji cha redds Victoria Peter.

Mwenyekiti wa Boy George Promosheni Yusuph George, ambao ni waandaji wa shindano la miss Kinondoni akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na maandalizi na kutoa muuongozo kwa warembo waliofanikiwa kuingia katika kambi hiyo inayoanza rasmi jumatano wiki hii Mzalendo Pub Makumbusho,kushoto ni Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.