Waziri wa Fedha Dk. Wiliam Mgimwa akisaini mkataba wa maji ambao utawasaidia wananchi ya Manyara.
Mkurugenzi Mkuu wa OFID (OPEC Fund For International Development), Bw. Suleiman Al-Herbish akishauriana na Waziri wa Fedha, Dk. Wiliam Mgimwa kabla ya kusaini mkataba wa mradi wa maji.

Waziri wa Fedha Dk. Wiliam Mgimwa akipokea mkataba kutoka kwa mchumi wa Wizara ya Fedha Bw. Patrick Pima.