
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(kushoto waliosimama) Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, pamoja na wananchi wakiwa katika maziko ya Haji Gharib Bilali, mdogo wake Makamo Dk. Bilal, yaliyofanyika leo jioni huko Mwera, Wilaya ya Magharibi Unguja, [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu]