
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika kijiji cha Ruaha mkoani Morogoro leo, Aprili 14, 2013.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akijaribu moja ya pikipiki, kabla ya msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuondoka eneo la Nane Nane kwenda Morogoro mjini kuanza ziara ya kikazi mkoani humo Aprili 14, 2013.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara wa CCM, uliofanyika leo Aprili 14, 2013 katika Kijiji cha Ruaha mkoani Morogoro.

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi baada ya kuwasili Ofisi Kuu ya CCM mkoa wa Morogoro, leo Aprili 14, 2013. Kinana amewasili Morogoro kwa akili ya kukagua uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.