Kucheka ni Muhimu kwa Afya, Lakini si Kila Aoneshae Meno Anacheka..!

Sura nyingine ya Kamanda

Kuna vicheko vingine eh?

WATAALAMU wa mambo ya afya wanasema kucheka ni afya! sijui kama kweli au lah?
Nchini india kuna vilabu vya kufanya mazoezi ya kucheka, pia katika nchi nyingi kuna wasanii wachekeshaji (Comedy) wanaofanya vituko kuwawezesha wanadamu wengine wacheke, inamaana kucheka ni tiba ya kuondoa fikra mbaya katika nafsi au? na wasanii wetu wa vichekesho nao ni madaktari.

Lakini tunajiuliza hivi kila anaeonyesha meno anacheka au? kama kamanda Ras Makunja wetu (pichani) juzi juzi alikua studio kupika nyimbo akafumwa akicheka sana kiasi ya watu waliokuapo pale walikua wakijiuliza hivi kicheko cha Kamanda meno nje! ni kicheko kweli au? tukae mkao wa kula kusikia ujio wa vitu vipya kwa siku za usoni.

lakini acha tuendelee kupata raha za wikiendi at ffu camp www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com