Kiwanda cha magodoro ya ‘kienyeji’ mjini Morogoro

Hapa ndipo yanapotengenezwa magodoro ya kienyeji ambayo kiasi kikubwa hutumia na baadhi ya raia wasiokuwa na kipato kikubwa kuweza kumudu magodoro ya kawaida yanayouzwa kwa bei kubwa. Baadhi ya watengenezaji wa magodoro hayo mjini Morogoro eneo la Hoteli ya Midland wakiyatengeneza.