Semina ya viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein, akiwa mwenyekiti wa Semina ya Uongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kwa watendaji wa Taasisi na Idara mbali mbali, akifafanua jambo alipokuwa akiendesha semina hiyo, iliyojadili Mada mbalimbali zilizotolewa wakati semina hiyo ya siku tatu ikiendelea katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort.