Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakibadilishana hati za mkataba wa Japan kusaidia shilingi bilioni 1.28 kwa ajili ya usambazaji wa maji safi na salama katika baadhi ya vijijini vya mkoa wa Tabora.
Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es salama mara baada Tanzania na Japan kusaini hati za mkataba wa Japan kusaidia shilingi bilioni 1.28 kwa ajili ya usambazaji wa maji safi na salama katika baadhi ya vijijini vya mkoa wa Tabora.Kulia ni Balozi wa Japan nchini Masaki Okada. Picha na MAELEZO.