Arusha Wafuraia Ujio wa Bia ya Tusker Lite

Wakazi wa jiji la Arusha wakifurahia ujio wa bia ya Tusker Lite katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti wakishindana kucheza muziki wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bia ya Tusker Lite uliofanyika ka katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa Ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.

Mwanamuziki wa Bendi ya Vibration ya jijini Arusha akiwaongoza mabalozi wa bia ya Tusker Lite kucheza pamoja na wadau wa jijini Arusha katika hafla hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.
5. Meneja wa bia ya Tusker Lite Bi. Anitha Msangi kielezea wadau jinsi bia ya Tusker Lite

Nakaaya Sumari akifurahia jambo na MC katika hafla hiyo.

Mama akifurahia zawadi ya glass za Tusker Lite baada ya kuibuka mshindi wa kucheza muziki katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.