Ujumbe wa Bunge la Vietnam bungeni Dodoma wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ujumbe wa Viongozi kutoka katika Bunge la Vietnam ukifuatilia kipindi cha wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuchangia hoja mbalimbali leo mjini Dodoma (Picha na Aron Msigwa, Maelezo Dodoma)

Ujumbe wa Viongozi kutoka katika Bunge la Vietnam ukiongozwa na mbunge Pham Minh Tuyen na Balozi wa Vietnam nchini Tanzania Nguyen Duy Thien ukizungumza na Kamati ya Bunge ya mambo ya nje, Ulinzi na Usalama ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzanai leo mjini Dodoma. (Picha na Aron Msigwa, Maelezo Dodoma)