Rais wa Zanzibar na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa Nchi za Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa Nchi za Tanzania, Uganda na Burundi, Philippe Dongie, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar [Picha na Ramadhan Othman, IKulu]