Mkutano wa Wadau wa Viwanda vya Saruji Wakutana

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakurugenzi wadau wa viwanda vya saruji waliohudhuria mkutano wa tano kuhusu sekta ya saruji katika bara la Afrika Dar es Salaam Februari 26 2013.

aziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda (kulia) akijadiliana jambo na wadau wa viwanda vya saruji waliohudhuria mkutano wa tano kuhusu sekta ya cementi katika bara la Afrika (katikati) Mkurugenzi wa Twiga Cement Kanda ya Africa Mashariki, Pascal Lesoinne (kushoto) Mkurugenzi wa biashara wa Kampuni ya Dangote, Dk Stanley CM Ko. Mkutano huo wa siku mbili umeanza jijini Dar es Salaam Ferbruari 26.

Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Dangote, Dk Stanley CM Ko akizungumza na waandishi wa habari wa kituo cha Televisheni ya Taifa TBC wakatika wa Mkutano huo.(Picha zote na Chris Mfinanga)