Ulinzi ukiwa umetawala wakati Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda alopofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi inayomkali ya uchochezi na wizi wa mali[caption id="attachment_28897" align="aligncenter" width="640"] Baadhiya wafuasi wake wakiimba nyimbo alipokuwa akitolewa mahakamani hapo.
ghafi zenye thamani ya Sh. milioni 59 inayomkabili Katibu huyo na wenzake 49 ilipoanza kusikilizwa. [/caption]
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda (katikati) akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi inayomkali ya uchochezi na wizi wa malighafi zenye thamani ya Sh. milioni 59 inayomkabili Katibu huyo na wenzake 49 ilipoanza kusikilizwa.