Serengeti Breweries Ltd na Bookers Party

Mabalozi wa kinywaji cha Baileys kutoka SBL wakitoa ufafanuzi kuhusiana na kinywaji hicho kwa wageni waalikwa katika Bookers Party See Cliff Hotel.

Meneja Masoko wa DSTV akifurahia kinywaji cha Baileys na Keki katika Bookers Party ndani ya See Cliff Hotel.

Meneja Mauzo na Masoko kutoka Hoteli ya See Cliff, Jean Francois Varet akikabidhi zawadi ya Baileys kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kwa mfanyakazi wa DSTV Gabriel Ernest katika Bookers Party iliyofanyika Hoteli ya See Cliff hivi karibuni.