Thomas Michelis akisoma kipeperushi na kupata maelekezo kutoka kwa balozi wa kinywaji cha baileys katika supermarket ya Shoppers Plaza, kuhusu kinywaji hicho na zawadi zinazotolewa katika msimu huu wa Valentine
Mteja wa Baileys akijaribu bahati yake katika msimu wa valentine ndani ya supermarket ya Shoppers Plaza
Meneja masoko wa vinywaji vikali kutoka kampuni ya Bia ya Serengeti Emillian Rwejuna akiwaelezea wanahabari jinsi kampeni hiyo inayofanyika katika supermarket mbalimbali huku akionyesha baadhi ya zawadi ambazo wapenzi wa Baileys wanapata.
Baadhi ya wateja wakifanya manunuzi ya kinywaji cha baileys katika msimu wa valentine ndani ya supermarket ya Shoppers Plaza