Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Wajumbe wa vyama vyenye wawakilishi Bungeni baada ya kikao walichokutana mjini Dodoma, kutoka kulia kwa Waziri Mkuu ni Agustino Mrema (TLP), Mwigulu Mchemba (CCM) Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD. Kushoto kwa Waziri Mkuu ni John Cheyo (UDP) na Julias Itatiro (CUF). (Picha na Chris Mfinanga).
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akiwa katika mkutano huo na wajumbe wa vyama vyenye wawakilishi bungeni