Pinda afungua kongamano la utumishi wa umma kimataifa

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifungua kongamano la siku nne wa kimataifa wa utumishi wa umma leo jijini Dar es Salaam.