Timu ya Ashanti Boxing Yaanza Vyema Klab Bingwa ya Masuimbwi

Bondia wa Klabu Ya Ashanti ya Ilala Abdallah Shamte akipambana na Hamisi Matunda wa Mashine ya maji wakati wa mashindano ya klabu bingwaShamte aliibuka na ushindi wa TKO raundi ya pili

Bondia Hamisi Matunda wa Klabu ya Mashine ya Maji kushoto akipambana na Abdallah Shamte wa Klabu Ya Ashanti ya ilala Shamte aliibuka na ushindi wa TKO raundi ya pili Picha na

Mashabiki wa ASHANTI BOXING YA ILALA WAKISHANGILIA