Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini
Tanzania Alfonso Lenhardt,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na
ujumbe wake. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu]