Msondo Wamtambulisha Kambi kwa Bwebwe

Waimbaji wa bendi ya Msondo ngoma wakiwajibika katika onesho lake maalumu la kumtambulisha mwimbaji mpya wa bendi hiyo Othumani Kambi wa pili kulia wengine ni Hassani Moshi kushot Eddo Sanga na Juma Katundu onesho lililofanyika katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni

Mashabiki wa bendi ya msondo music wakicheza kwa furaha wakati wa onesho maalumu la kumtambulisha mwimbaji mpya wa bendi hiyo Othumani Kambi Picha na www.burudan.blogspot.com