Rais Kikwete Apokelewa Rasmi Ufaransa

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi aliloandaliwa kwa heshima yake mjini Paris Ufaransa Januari 21, 2013 ikiashiria kuanza rasmi kwa ziara yake ya kiserikali ya siku tano nchini hum.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Francois Hollande wa Ufaransa wakiongea na wanahabari baada ya mazungumzo yao rasmi katika Ikulu ya nchi hiyo maarufu kama Champs L’Elyesee (hutamkwa chanz elezee) jijini Paris Januari 21, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akiwa katika maongezi rasmi na mwenyeji wake Rais Francois Hollande wa Ufaransa na ujumbe wake katika Ikulu ya nchi hiyo maarufu kama Champs L’Elyesee (hutamkwa chanz elezee) jijini Paris Januari 21, 2013