Mmoja wa wamiliki wa magari yaliyoangukiwa ukuta akitafakari!
Ulinzi mkali eneo la tukio uliofanywa na Polisi kuzuia vibaka
Ulinzi mkali eneo la tukio uliofanywa na Polisi kuzuia vibaka
Nguzo za zege zinavyoonekana baada ya kung’oka na kuangukia magari
Nguzo za zege zinavyoonekana baada ya kung’oka na kuangukia magari
Baadhi ya wamiliki magari yalioangukia na ukuta wakiorodhesha majina yao
Sisi magari yetu hayakuguswa na ajali hiyo japo yalikuwa yameegesha maeneo hayo hayo, lakini tunayatoa vipi..1?