Philip Mangula Ahutubia Mwanza

Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula akiwasalimia mabalozi wa nyumba kumi wa kata 21 za Ilemela na Nyamagana baada ya kuzungumza nao, kwenye Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza Januari 20, 2013. Kulia ni Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.

Mabalozi wa nyumba kumi wakiwa wamepanga foleni ili kupata fursa ya kumuuliza maswali, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula alipozungumza nao kwenye Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula akijibu maswali ya wajumbe wa nyumba kumi, alipozungumza nao kwenye Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza