Waziri Pinda mgeni chakula cha mchana

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimsalimia mtoto Abrahamu Omari (miezi 3) ambaye amebebwa na mama yake mwenye ulemavu wa ngozi anaitwa Amina Fadhili
nyuma ya waziri mkuu ni mwenyekiti wa makampuni ya Ipp Reginali Mengi ambaye ndiye alianda chakula kwa walemavu katika kukaribisha mwaka mpya 2013

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwahutubia walemavu walio alikwa katiaka cha mchana kilicho anadaliwa na mwenyekiti wa makampuni ya ipp Reginali Mengi katika kukaribisha mwaka mpya wa 2013 waziri mkuu alikuwa mgeni rasimi katika hafla hiyo picha na Chris mfinanga