Waziri Mkuu Mizengo Pinda ametoa msaada wa Tv flat katika kijiji cha matumaini Dodoma kinacholelea watoto ya tima kulia kwa waziri mkuu ni mkuu wa kituo hicho Fr Vicent Boseri na anaye fuatia ni Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa (tamisemi) Hawa Ghasia (Picha na Chris Mfinanga)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiagana na Fr Vicent Boseri pamoja na msaidizi wa Vicent Sistar Rozaria ambao walimshukuru waziri mkuu kwakukumbuka watoto yatima hapa nchini (Picha na Chris Mfinanga)