Rais Kikwete Afungua Jengo Jipya Hospitali ya Hindu Mandal

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akfungua rasmi jengo jipya la hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya Januari 16, 2013

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na baadhi ya wafanyakazi na uongozi wa hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya Januari 16, 2013

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akfungua rasmi jengo jipya la hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya Januari 16, 2013
PICHA NA IKULU