Rais Jakaya Mrisho akiongea na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais wa Benin Mhe Boni Yayi Ikulu jijini Dar es salaam Januari 16, 2013
Rais Jakaya Mrisho akiandika jambo akiangaliwa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais wa Benin Mhe Boni Yayi Ikulu jijini Dar es salaam Januari 16, 2013
Rais Jakaya Mrisho na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais wa Benin Mhe Boni Yayi wakiangalia ngoma katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam Januari 16, 2013