SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA JUKWAA LA WAZI LA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII MTOA MADA NI DIANA KIDALA WA JUKWAA LA KATIBA
MADA: Mrejesho wa Ukusanyaji wa Maoni ya Katiba Mpya na Mpango wa Kushiriki Mabaraza ya Katiba Mpya
Lini: Jumatano Tarehe 16/01/2013
Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA