Mtandao wa FullShangwe Waomba Radhi Wadau

Mkurugenzi wa FullShangwe, John Bukuku

WADAU WETU WA MTANDAO WA FULLSHANGWE BLOG TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOTE ULIOJITOKEZA BAADA YA MTANDAO WETU KUTOKUWA HEWANI KWA SIKU YA PILI SASA KUTOKANA NA MATATIZO YALIYOJITOKEZA.

WATAALAMU WETU WANAENDELEA NA MAREKEBISHO NA WAKATI WOWOTE TUTARUDI HEWANI KUENDELEA NA MAJUKUMU YA KUPASHA HABARI. TUNAOMBA RADHI WADAU WETU WOTE WAKIWEMO NMB, NBC, SERENGETI BREWERIERS, BAYPORT, TTB NA WILNA INTERNATIONAL AMBAO TUMEKUWA TUKISHIRIKIANA NAO.