Washiriki wa Guinness Football Challenge 2013 Waagwa Dar es Salaam

Baadhi ya wamiliki wa magazeti tando walioko jijini Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja walipokutana katika tafrija ya kuwaaga, ashiriki wa shindano la Guinness Football Challenge 2013. Kutoka kushoto ni Kassim Mbaruku, Fransic Dande, Josephat Lukaza, William Malecela, Ahmad Michuzi, John Bukuku, Henry Mdimu na Othman Michuzi ambaye amekaa chini ni Mroki Mroki a.k.a Father Kidevu.