Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikabidhi Mipira kwa Ali Simai
Mrisho,wa Kusini Unguja,wakati alipozindua mradi wa “ONE WORLD
FOOTBALL FOR AFRICA”,mradi wa Ugawaji wa mipira kwa vikundi mbali
mbali vya vijana katika kukuza vipaji vya Mpira wa Miguu hapa Nchini
uliofadhiliwa na Shirika hilo chini ya usimamizi wa Mwakilishi wake
Sandra Cress,(wa pili kulia) sherehe hizo zilifanyika jana
katikamUwanja wa Amaan Studium,katika kuadhimisha Miaka 49 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikabidhi Mipira kwa Ridhiwan
B.Makame,wa Kaskazini A Unguja,wakati alipozindua mradi wa “ONE WORLD