Huu ndio ujumbe maalumu kwa wateja na wapitanjia eneo la Mbwewe ulioandikwa na vijana walioamua kujiajiri kwa biashara ya mkaa eneo hili kama inavyoonekana pichani. Picha hizi nimezipiga jana nikiwa safarini kutoka Tanga kuja Dar es Salaam.
Huu ndio ujumbe maalumu kwa wateja na wapitanjia eneo la Mbwewe ulioandikwa na vijana walioamua kujiajiri kwa biashara ya mkaa eneo hili kama inavyoonekana pichani. Picha hii nimeipiga jana nikiwa safarini kutoka Tanga kuja Dar es Salaam.