Rais wa Zanzibar Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi, Kiuchumu na Ushirika

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi, Kiuchumu na Ushirika, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini
Zanzibar. [ Picha na Ramadhan Othman, IKULU]