RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungmza na Uongozi wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo, kupitia utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo mkutano uliofanyika Ikulu Mjini Zanzibar ikiwa ni muendelezo wa kufuatilia utendaji kwa taasisi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu]