Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na
Mafunzo ya Amali katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif, [ Picha na Ramadhan Othman, Ikulu]