
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Limited (SBL), Steve Gannon (kushoto), Maurice Njowoka Meneja wa Tusker SBL wakiwa na Mkurugenzi wa mauzo SBL, Robert Njuguna Kulia pamoja na wasambazi wakubwa na wadogo wa SBL katika kiwanda cha SBL jijini Dar es Salaam wakati bia hii mpya ilipozinduliwa mbele ya wafanyakazi na wasambazaji.