Dk Bilal Afanya Mazungumzo na Balozi wa India Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa India Nchini Tanzania, Dednath Shaw, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, Nov. 21, 2012 kwa mazungumzo. Picha na OMR