Mgonjwa Huyu Anaitaji Msaada Wako

Mgonjwa Anastazia Dulianus (18)

Mguu wa Anastazia Dulianus (18)

ANAITWA Anastazia Dulianus (18) mwenyeji wa Wilaya ya Serengenti mkoani Mara, amefika jana Hospital ya Mkoa lakini mpaka sasa hajapata huduma yoyote.

Mzazi wake anatafuta fedha za kwenda kupima nyama ya Mguu KCMC Moshi, anahitaji msaada wa kifedha atakayeguswa na hali hii afike wodi namba 4 hospital ya Mkoa wa Mara. Kwa mawasiliano tumia namba: 0756 035 825

Kumsaidia Dada Anastazia tunaweza kutumia akaunti namba 022201093996 NBC na michango yote tutaiweka wazi kupitia mtandao huu wa kijamii
Kutoa ni Moyo, tumsaidie Mtanzania mwenzetu