Katibu Mkuu Mpya wa CCM Aanza Kazi Leo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimia wafanyakazi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijinbi Dar es Salaam, aliporipoti rasmi kazini kwenye ofisi hizo leo asubuhi