Rais wa Kampuni ya Bahari Motors Co Ltd na Rungwe & Co. Advocates, Mzee Hashim Rungwe akiwasikiliza viongozi wa juu wa mtandao wa dev.kisakuzi.com (hawapo pichani) huku akiweka kumbukumbu walipomtembelea ofisini kwake Kijitonyama Dar es Salaam hivi karibuni.
Wadau wakuu wa mtandao wa dev.kisakuzi.com, Joachim Mushi (kulia) na Hashim Rungwe (kushoto) wakiwa nje ya ofisi za kampuni ya Bahari Motors Co LTD na Rungwe & Co. Advocates walipotembelea hivi karibuni.
Mmoja wa viongozi wa dev.kisakuzi.com, Hashim Rungwe akiwa na Mbunge wa Kigoma Kusini kupitia NCCR-Mageuzi, David Kafulila, mbunge huyo ni mdau wa Thehabari.com