Philip Mangula: Mgombea Nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa CCM, Bara
Huyu ndiye mgombea wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara. Anajulikana kama Katibu Mkuu wa zamani, Philip Mangula. Picha na Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM.